Monday, October 12, 2015

Ganga Njaa : Filamu ya kwanza toka kwetu!!

Amina Joseph akiwajibika katika kugusa mioyo ya watu.

Baraka Isaac akiwasilisha uhusika.

Jonas Mwasile Katika kazi.
Filamu hii inahusu maisha ya mtaani ya vijana wadogo walio katika mazingira magumu ya kupata mlo na mahitaji mengine muhimu ya maisha.Filamu hii hiko katika hatua za mwisho za uchukuaji wake.

This film is about street life of youngsters living in hard environment to acquire meal and other life's basic needs.